- Shelly-Ann Fraser-Pryce kutoka Jamaica aling'aa kwa mtindo wake wa nywele
- Wanamichezo kutoka India nao walivutia kwa koti zao na sari
- Ureno mtindo wao ulikuwa wa jeans
- Indonesia waliamua kuvalia kifalme
- Bermunda nao wakavumisha kaptula za Kibermunda
- Mbeba bendera huyu wa Tonga alisisimua wengi kwa kifua chake wazi kilichong'aa kutokana na mafuta
- Norway walitikisa ukumbi kwa vazi hili
- Kwa Msumbiji, mashati yenye michoro ya vijisanduku ndiyo yalikuwa mavazi ya sherehe
- Kina dada wa Brazil walijitokeza na vazi lenye muundo wa majani, wakiwakilisha rangi ya bendera la taifa lao. Brazil ndio wenyeji.
Mitindo iliyovuma ufunguzi Olimpiki Rio 2016
Huu hapa ni kusanyiko wa picha za mitindo na tamaduni zilizovutia watu sana katika mitandao ya kijamii wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Post a Comment